Natafuta soko la tangawizi

Natafuta soko la tangawizi

Astej

Member
Joined
Apr 2, 2018
Posts
22
Reaction score
6
Habari wakuu!
Nina tangawizi takribani tani 50 na itakuwa tayari kufikia mwezi wa tano ni wapi naweza kupata soko zuri?
 
Habari wakuu!
Nina tangawizi takribani tani 50 na itakuwa tayari kufikia mwezi wa tano. Ni wapi naweza kupata soko zuri?
Mie naomba kujifunza jinsi ya kupanda na kuhudumia zao hilo je unalimia wapi! !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom