Mfanyakazi wa ndani anahitajika

Mfanyakazi wa ndani anahitajika

MALISA92

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
148
Reaction score
57
Ndg zangu nina uhitaji wa mfanyakazi wa ndani sana sana..nipo serious katika hili kwani kwa sasa katika familia yangu kuna majukumu machache yametuelemea mimi na mke wangu hivyo akiwepo mfanyakazi wa kutusaidia ingekuwa vzuri.
Jinsia awe wa kike. Kwa ambaye anaweza kuniunganishia mtu wa aina hiyo basi tuwasiliane kwa number 0658 02 03 61.
 
Mimi na familia yangu tunahamia nchi jirani kikazi, kwamaana hiyo msichana wetu wa kazi atakuwa free, kama upo teyari nikupigje. ana umri wa miaka 21, elimu kidato cha nne na cheti cha mapishi na house keeping. MshAhara tunampa laki tatu na sabini pamoja na marupurupu mengine. kama bado unahitaji sema
 
Ndg zangu nina uhitaji wa mfanyakazi wa ndani sana sana..nipo serious katika hili kwani kwa sasa katika familia yangu kuna majukumu machache yametuelemea mimi na mke wangu hivyo akiwepo mfanyakazi wa kutusaidia ingekuwa vzuri.
Jinsia awe wa kike. Kwa ambaye anaweza kuniunganishia mtu wa aina hiyo basi tuwasiliane kwa number 0658 02 03 61.
Mkuu vipi umempata kama bado nicheki kuna mmoja yupo mbezi beach
 
Awe flat screen au na chura? Mweupe au mweusi? Mrefu au mfupi? Sura je? Chuchu saa 6 au za kulala? Mguu wa bia au soda?
 
Back
Top Bottom