Eneo lipo pazuri sana na panafaa matumizi ya kiwanda, godaun, Hospital nk
Zipo karibu na barabara
Bei 550m
Maongezi na mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa :-
0756060183
Lenovo T420s
RAM 4GB
HDD 320GB
CORE i5
Bei 450000/=
********
HP Core i5
RAM 4GB
HDD 320
Bei 410000/=
******
Zipo na nyingine nyingi hadi za bei ya chini yaani 280k
Dell, lenovo, HP
Tuwasiliane...
Ahsanteni wote mnaonipa mrejesho wa matokeo ya chanya baada ya kutumia mafuta haya..!
Kiukweli hata mimi wakati mwingine sielewi inakuwaje ila namshukuru Mungu kwa kila anayesema amepona kwa...
Nyumba ipo maeneo ya Chamwino mwishoni karibu na Modeko.
Ina vyumba 11 kwa ajili ya kupangisha na Frame nje!
Ina hati na kiwanja kimepimwa, maji na umeme vipo na havikatiki 24hrs maana line yake...
Natafuta gari ya kununua aina ya ist,iwe ya kuanzia 2013 na kuendelea, iwe kwenye hari nzur ikiwa nyeupe itapendeza zaidi, nicheki waka.experience@gmail.com
We Design and Develop Websites and Blogs.
This offer includes but not limited to
- .tz Domain
- 1 Year Free Hosting Plan
- 10 Corporate Email Accounts
- 2 Months Free Maintanance
If you are...
Habari?
Nimechimba bwawa dogo kwaajili ya ufugaji wa samaki hapa nyumbani. Ni ufugaji kwaajili ya hobbie tu si kibiashara.....
Sasa udogo huu hautuamishi maji hivyo maji yanapotea sana...
Hello wana jamvi.
naomba mwenye namba za mpesa, tigopesa na airtel money tuwasiliane,
unaweza kuni pm nikajua price kwa zote alafu tuanzie hapo,
This is for serious person only.
Wadau
........kampuni yetu ilikuwa na mkataba na Vodacom ambao ulishaisha muda mrefu....sasa hatuna tena mkataba nao lakini wanatulazimisha kutubana na vigezo vya mkataba ambao haupo ....hivyo...
Wakuu, nipo Mbeya nahitaji vifaranga wa kuku chotara...je ni wapi wanauza kwa maeneo ya jirani iwe Mbeya mjini, Mbozi, Mbarali au hata Tukuyu na Makambako. Aina gani ya vifaranga hao ni bora kwa...
Ipo kwenye hali nzuri sana (Imetumika kwa miezi 3 tu). Bei yake dukani ni Tsh 700,000+ lakini nitakuuzia kwa Tsh 500,000 (No bargaining).
Specification:
Ina uwezo wa kutoa copy, scan na kuprint...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.