Aah nikipata bhasi nitakutafuta.Mkuu Unanikaba Nimenunua 300k Fanya Unipatie 240k Tukate Mzizi Wa Fitna.
Picha weka tuione ilivyoHabari Wakuu.
Kama Heading Inavyosema Simu Inauzwa.
Kwa Kuongezea Ina
Back Camera 13Mp
Front Camera 8Mp
Internal Memory 16GB
RAM 2GB
ScreenSize 6Inch
Condition =3 Week Used.
Price = 250k
Location = Sinza Meeda.
Contact = 0622543431
Ahsanteni.
Hiyo Tablet Ni Org?Samsung tablet GT-P5100 inauzwa, ina hali nzuri. Nipo Salasala Dar es Salaam. Pia naweza kubadilishana na simu ya kawaida (mfano tecno common cx) Mawasiliano call/whatsApp 0687634408.View attachment 740936
Og kabisaHiyo Tablet Ni Org?
Kwanini Unaiuza Mkuu?Og kabisa
Nahitaji simu ya kawaida ya kutumia coz natumia tablet hii kwa mawasiliano so inaniwia ngumu kutembea nayo.Kwanini Unaiuza Mkuu?