The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Wakuu, nipo Mbeya nahitaji vifaranga wa kuku chotara...je ni wapi wanauza kwa maeneo ya jirani iwe Mbeya mjini, Mbozi, Mbarali au hata Tukuyu na Makambako. Aina gani ya vifaranga hao ni bora kwa ufugaji kwa maana wanakuwa wakubwa na wazito zaidi na hata utagaji. Nashukuru