Mafuta ya habat sawdat (Blackseeds oil )

Mafuta ya habat sawdat (Blackseeds oil )

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Ahsanteni wote mnaonipa mrejesho wa matokeo ya chanya baada ya kutumia mafuta haya..!
Kiukweli hata mimi wakati mwingine sielewi inakuwaje ila namshukuru Mungu kwa kila anayesema amepona kwa tatizo lilikowa likimsibu..

1: je blackseeds oil inatibu baada ya matumizi ya chupa ngapi?

[emoji830] Sina jibu halisi la kiwango ama idadi ambazo mtu apaswa kutumia sabbu kila mtu ana ushuhuda wake binafsi huenda hutegemeana na tatizo lako au matumizi yako mwenyewe..

2: Je blackseeds oil hutumikaje?

[emoji830] Wako wasomi na washauri wengi kila mmoja hutoa mtazamo wake juu ya matumizi ya blackseeds oil japo wote wanakubaliana kuwa ni vema kila siku kitumike kijiko kimoja cha chai..

3: Je inatibu tatizo la nguvu za kiume na Uzazi ..?

[emoji830] zipo tafiti mbalimbali zimefanyika hasa katika Nchi za kiarabu na kuonesha kuwa ina msaada mkubwa katika nguvu za kiume na uzazi.!

4: Je Blackseeds oil inatibu "UKIMWI" ?

[emoji830] Sina hakika lakini wengi wa walio athirika na Virus vya Ukimwi wanadai imewasaidia sana.na wanajihisi kuwa wamepona kabisa..
Japo sina uhakika katika hili..
Ninachokifahamu hutumika sana kuimarisha kinga ya mwili..


Kwa maelezo mengi ya kina kuhusu blackseeds oil tafadhari tembelea google.

Ama kama unahitaji wasiliana nasi +255752995192.. whtsp. Or +265992936221..
IMG_20180402_214913_484.jpg
IMG_20180404_192641_499.jpg
 
Sawa hao walipona kwa mda, wapo sasa walio pona jumla jumla kabisa.
Nimewahi kuuza hayo BLACK SEED OIL toka EMANI Pakistan, na victim wa HIV+ wengi wao yaliwasaidia kwa muda tu.
 
Matapeli mmehamia JF eti Black.Seed Oil inatibu UKIMWI
"Ukimwi" kwa maana ya upungufu wa kinga mwilini..
Blackseeds husaidia kuimarisha kinga ya mwili. Na hii ni kwa mujibu wa watumiaji walio athirika. Kupinga ni haki yako pia.
Na hata kusikiliza upande wa pili pia laweza lisiwe wazo baya.
 
Nimewahi kuuza hayo BLACK SEED OIL toka EMANI Pakistan, na victim wa HIV+ wengi wao yaliwasaidia kwa muda tu.
Nilidhani haikuwa na msaada kabisa. ! Nadhani ni kwa muda gani na kiasi gani huo ndio mjadala mahsusi.
 
hivi hamuwezi kutangaza dawa hadi mseme inatibu nguvu za kiume?
Kwa kawaida kumekuwa na wimbi kubwa sana la matangazo ya biashara ya dawa za nguvu za kiume.! Kwa mtazamo wangu nadhani muathirika anapaswa apewe elimu inayo husiana na mfumo wa utendaji kazi wa via vua uzazi vya kiume kuliko matumizi ya dawa.
 
ile ya unga inatibu vidonda vya tumbo moja kwa moja mtu anatapika acid yote
 
Sawa hao walipona kwa mda, wapo sasa walio pona jumla jumla kabisa.
Kikubwa ni kujikita katika Elimu je ni vipi yaweza kuwa msaada? Na yanausaidiaje mwili katika udhaifu huo wa maradhi na ni kwa muda gani?
 
Mimi kwa nijuavyo ili ifanye kazi vizuri unaichanganya na asali tena ile asali ya nyuki wapole kwa walioathirika ndani ya miezi sita mpaka nane unakuwa umepona.......kwa watu wa allergy wakiichanganya na hii asali ndani ya miezi mitatu utaisaha allergy kabisaaaaa
 
Hie, One of my teachers had fibroid after taking blackseed oil she went to the hospital today, guess what? The fibroid is no longer there.!
 
Hie, One of my teachers had fibroid after taking blackseed oil she went to the hospital today, guess what? The fibroid is no longer there.!
Aina hii ya Jumbe ndizo zinazonifanya niwe na tashwishwi ya kujua zaidi kuhusu Blackseeds oil na ni vip inaweza kufanya kazi.
 
Ahsanteni. Kwa maswali..

Blackseeds oil.. huwa haitimiki kama kipodozi.. ila hutumika kuondoa athari zilizo sababishwa na vipodozi mathalani.. uso wenye mabaka mabaka yaliyo sababishwa mikorogo au vipodozi vyenye kemikali.., au walio na mabaka ya chunusi na vipele vidogo vidogo visivyo na usaa usoni..
Unaweza pia itumia kukabiliana na mapunye.!

Angalizo ni nzuri sana kulainisha ngozi lakini haitumiki kama kipodozi hivyo ukiipata itumie usiku kabla ya kulala huwa ni vema zaidi.
 
Back
Top Bottom