Natafuta "polythene sheet".

Natafuta "polythene sheet".

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,660
Habari?
Nimechimba bwawa dogo kwaajili ya ufugaji wa samaki hapa nyumbani. Ni ufugaji kwaajili ya hobbie tu si kibiashara.....
Sasa udogo huu hautuamishi maji hivyo maji yanapotea sana nikashauriwa nitumie NAILONI "polythene sheet" ili kudhibiti upotevu huu wa maji: sasa basi mwenye kujua
1. Hizi sheet zinapatikana wapi kwa JIJINI MBEYA?
2. Zinauzwaje kwa sheet ya ukubwa 5M x 10M?
3. Inadumu kwa muda gani kabla ya kubadilishwa?

Asanteni
 
Kiwanda cha Morogoro plastic wanazo....sijui bei wala size....

Tafuta namba zao uwapigie wakupe details...kipo morogoro
 
Habari?
Nimechimba bwawa dogo kwaajili ya ufugaji wa samaki hapa nyumbani. Ni ufugaji kwaajili ya hobbie tu si kibiashara.....
Sasa udogo huu hautuamishi maji hivyo maji yanapotea sana nikashauriwa nitumie NAILONI "polythene sheet" ili kudhibiti upotevu huu wa maji: sasa basi mwenye kujua
1. Hizi sheet zinapatikana wapi kwa JIJINI MBEYA?
2. Zinauzwaje kwa sheet ya ukubwa 5M x 10M?
3. Inadumu kwa muda gani kabla ya kubadilishwa?

Asanteni
Tafuta address za balton Tanzania au google website itaonekana simu zao. Wako Arusha. Na huwa wanaziita dam liner au damlinnerup. Jaribu hiyo mkuu.
 
Back
Top Bottom