Toyota raum new model inauzwa

nadori

Member
Mar 5, 2016
99
63
Habari
Gari aina ya Toyota raum new model inauzwa,tuwasiliane kwa namba 0719308160 kwa anayehitaji.

Gari ni namba DEB ipo Dar,ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote, nyaraka zote za umiliki wa gari zipo, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana

Ahsante.

IMG-20171114-WA0000.jpg
IMG-20171114-WA0006.jpg
IMG-20171114-WA0001.jpg
 
Toyota raum new model ipo sokoni tuwasiliane 0719308160 anayehitaji
Aina ya gari: Raum New Model
Ya Mwaka; 2003
Ilipo ;D
ar es salaam
CC; 1490
Reg No;T 333 DEB
Bei; 8 million
 

Attachments

  • IMG-20171114-WA0001.jpg
    IMG-20171114-WA0001.jpg
    86 KB · Views: 164
  • IMG-20171114-WA0000.jpg
    IMG-20171114-WA0000.jpg
    53.8 KB · Views: 154
  • IMG-20171114-WA0005.jpg
    IMG-20171114-WA0005.jpg
    81.8 KB · Views: 168
  • IMG-20171114-WA0006.jpg
    IMG-20171114-WA0006.jpg
    63.5 KB · Views: 149
Mkuu ongeza details zaidi, ili kumshawishi mtu kuchukua uamuzi wa kukupigia simu. Tangazo bado halishawishi
 
Mkuu nadori naona wewe ni mgeni humu, Eleza yafuatayo:

Aina ya gari: Raum New Model
Ya Mwaka:................................
Ilipo sasa (Location):.................
CC:..........................................
Reg No. (B,C,D)........................
Km ilizotembea hadi sasa:............................

Nyongeza:
taja accessories zilizopo zinazoweza kumvutia mununuzi Mfano; Muziki mkubwa, Sports Rims, New tyre, leather seats cover, unaweza ongeza kuwa mtumiaji wa sasa ni mdada anayetumia gari kwenda ofisini na kurudi.

Kwa nini Unauza:
(toa maelezo mafuti (mnunuzi ajue sababu ya wewe kuuza, Unataka kubadili Gari, Unaenda masomoni Ulaya etc)

Bei:

Mawasiliano:

Ongeza picha za gari at least 4 (za kila upande)
 
acha uongo!!! hadi mkononi raum new model kwa sasa ni 11 ukijitahidi sana kufanya lobbying lazima iwe atleast 10 m.Ni magari ambayo yana demand kubwa kwa sasa hapa Tz
Mkuu usibishe, kuna iliyoagizwa kwa M8 hadi mkononi isipokuwa bima tu..!
 
  • Thanks
Reactions: ovi
E="nadori, post: 24425280, member: 356122"]Mkuu 10 milioni tuwasiliane kwa iyo namba hapo juu[/QUOTE]
10 million wakati tangazo ni 8 million.
Unababaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom