Nauza nazi kutoka Kilwa. Ni kubwa na zilizokomaa vizurii

josmic

Member
Jan 16, 2013
73
25
Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni saaanaaaa

0718849991
FB_IMG_1523563812339.jpg
IMG-20180414-WA0001.jpg
 
Kuna 500,600,700 mzigo wa kuanzia nazi 100 nichek kwenye namba yngu kwa maelezo zaid
 
Tupo Pamoja Nitakuungisha,kuna Kamradi Kakikaa Poa Katahitaji Nazi Sana Utaweza Kunletea Mwananyala Komakoma,wewe Upo Wapi?
 
Tupo Pamoja Nitakuungisha,kuna Kamradi Kakikaa Poa Katahitaji Nazi Sana Utaweza Kunletea Mwananyala Komakoma,wewe Upo Wapi?
Karibu sanaa naweza kukuleteaa mm nipo tabata
 
Back
Top Bottom