External unaichaji??
Ooh sikuwahi juaStorage devices kuanzia 2TB zinahitaji independent power supply.
5Volts from computer USB port haitoshi Ku run millions of transistors zilizopo ndani.
Owkey, ntafanya hivyo then ntakuchekSorry nimejaribu ku-upload ila napata error. You can google though...
nop ni kuanzia 3tb coz ninayo Samsung 2t haihitaji independent chargerStorage devices kuanzia 2TB zinahitaji independent power supply.
5Volts from computer USB port haitoshi Ku run millions of transistors zilizopo ndani.
Naomba kuuliza tena, je ipo hiyo hiyo one pc au unazo zingine coz naplan kununua hiyo kitu by the end of this month, so kama una nyingine nataka niweke order mapema.Sorry nimejaribu ku-upload ila napata error. You can google though...
Sorry nimejaribu ku-upload ila napata error. You can google though...
1 tu rafiki.Naomba kuuliza tena, je ipo hiyo hiyo one pc au unazo zingine coz naplan kununua hiyo kitu by the end of this month, so kama una nyingine nataka niweke order mapema.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Not true nina 4TB ila haihutaji independent power ......hii external ni zile version za zaman sana siku hz prefer somethng portable ambayo hata umeme wa tanesco ukikatika bado wanakuwa wanaweza ku access device yaoStorage devices kuanzia 2TB zinahitaji independent power supply.
5Volts from computer USB port haitoshi Ku run millions of transistors zilizopo ndani.