Mlyuha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 239
- 94
"Southern Consult and Agro-Products Company (T) Ltd (SCAP) ni kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na biashara mbalimbali za ushauri wa kitaalam wa uendeshaji miradi ya maendeleo (project management), tathmini ya miradi, uchakataji mazao ya kilimo (agro processing), uimarishaji wa taasisi za kijamii kwa lengo la kuwezesha kufikia malengo tarajiwa ya asasi husika, nk. Kampuni ina makao makuu yake Masasi, Mtwara.
Kampuni inatafuta mtaalam (kampuni nk) anayeweza kutengeneza tovuti ya kampuni pia anayeweza kufanikisha uendeshaji (management) ya hiyo tovuti.
Kama unadhani unao uwezo wa kazi hii tafadhali tuwasiliane na tushauriane:
southscap@gmail.com
0714767770