Natafuta risiva ya Freesat V7, v7 max au v7 combo

Natafuta risiva ya Freesat V7, v7 max au v7 combo

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari zenu wanajamvi!
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na upendo juu yetu.

Natafuta risiva ya freesat v7, combo au max , nimejaribu kupita kwenye blog mbali mbali nimeona bei yake inaanzia 140000 mpaka 165000 pia kuna mdau katika uzi flani humu alipost akisema kwa kawaida inauzwa 100000 ukipigwa sana basi 110000 ,Mpaka sasa nashindwa kuelewa bei halisi ni ipi manake pia kuna mzee aliletewa na fundi wake huku USHIROMBO ,GEITA akaambiwa bei ni 400000

Ukweli ni kwamba sipendi KUPIGWA ila napenda kununua kitu kwa bei stahiki ,

Hivyo kwa heshima nawaomba wanajamvi mnithibitishie bei halisi ya hii bidhaa ili niinunue,

Kilichonivutia inafungua biss key, power vu na trandberg encropted channels pia ni autoroll halafu pia ni unafuu wa bei .

Nathamini mawazo yenu.
 
3f6cf7c86119dcae4c1f3bff98aefa4e.jpg
 
Mkuu tudadavulie kazi zake na sisi. Maana sijaelewa ila nahisi mambo yetu ya kumkimbia kaburu na mpira!!
Me kuna jamaa kanifungia hiyo FreeSat lakini najutia, channel za mpira zipo mbili tu Sony Espn na Sony Six tena hazioneshi Epl wala UCL zinaonesha europa league tu [emoji26], Any help please nifanyeje?
 
Mkuu ulinunua bei gani ?
Pili una madish mangapi?
 
Back
Top Bottom