Nauza computer desktop full

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Nauza computer hp na kioo cha dell

Sifa za desktop
Ram 4gb
Had disk gb 500
Prosesa coi3
Bei laki tatu na nusu.
View attachment 735181
IMG_20180405_144344.jpg
IMG_20180405_144406.jpg
 
Huku huogopi kupigwa kama alivyotufanya Pm
Yule mzee niliwahi kumuapiza kuwa kamwe hatofanikiwa, PM anamawazo mazuri sana, lakini akiyachukua mawazo yake akaungana na wenye mitaji wakafanya Kazi atatusua vinginevyo Mola amfanyie wepesi
 
Yule mzee niliwahi kumuapiza kuwa kamwe hatofanikiwa, PM anamawazo mazuri sana, lakini akiyachukua mawazo yake akaungana na wenye mitaji wakafanya Kazi atatusua vinginevyo Mola amfanyie wepesi
yule mzee Mungu amsamehe tu maana tamaa zimemjaa na mafanikio ukiwa na tamaa sahau zaidi utapata pesa ya kula tu but thanks alitufunza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom