Naomba kufahamishwa eletronic payment system ambayo ni nzuri

Naomba kufahamishwa eletronic payment system ambayo ni nzuri

possible

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
56
Reaction score
62
Saalam kwa wote.
Naomba kufahamishwa eletronic payment system ambayo ni nzuri kuitumia kwa hapa Tanzania.Mfano wa electronic payment ni kama Neteller,Skrill,Webmoney,Cashu n.k.Nataka kujua hasa ambao ni rahisi kuwithdraw na kudepost hela.
 
Neteller,Skrill,Webmoney,Cashu n.k.Nataka kujua hasa ambao ni rahisi kuwithdraw na kudepost
- Skrill ni chaguo sahihi
- Deposit: Instantly
- Withdraw: Ndani ya saa 48 - 72 fedha unaikuta kwenye account yako.
 
Mwl.RCT kwa msaada wako.Naomba kujua hasa jinsi ya kutoa na kudepost kupitia SKrill.
 
Back
Top Bottom