Msaada VINYL CUTTER MACHINE

mwangalizi

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
842
512
Wakuu wa jukwaa pendwa na mahiri, naombeni msaada wenu wa aina nzuri ya vinyl cutter pamoja na bei yake na mahali pa kuinunua hapa Tanzania. Asanteni.
 
Wakuu wa jukwaa pendwa na mahiri, naombeni msaada wenu wa aina nzuri ya vinyl cutter pamoja na bei yake na mahali pa kuinunua hapa Tanzania. Asanteni.
Vipi je umepata hiyo machine? GCC expert 24 LX ni machine nzuri. Kwa Tanzania sijajua zinapatikana wapi. Kenya kuna agent wanauza 800USD.

Je materials (vinly) umenunua wapi? Au zinapatikana wapi?
 
hiyo ni best kama ndo unaanza au Cricut explorer Air 2 (hii iko fast zaid ya Cameo 3) ina nakushauri nunua Cameo 3 ndo best zaid
Explore air 2 software Yao iko kwenye internet pekee, kama huna internet ya maana sidhani kama unaweza kutumia
 
Back
Top Bottom