Nyegina high school 2018/2019

Nyegina high school 2018/2019

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
819
Reaction score
908
Ni shule ya mseto inamilikiwa na kanisa katoliki jimbo la Musoma,tunazo kumbinations za PCM,CBG,HGL NA PCB.SHULE IKO UMBALI WA KM 16 KUTOKA MUSOMA MJINI.INA HUDUMA ZA HOSTELI,UMEME NA MAJI.KWA MWAKA HUU 2018 NDO TUNATOA WANAFUNZI WA KWANZA FORM SIX,KARIBU KWA AJILI YA KUJIUNGA FORM FIVE-2018,JULY.KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 0789443404 /0762364740
 
Jina hilo haliwezi kubadilika? anyway wasomeshaji wanakuja mi natania tu
 
Shule mmeipa jina la kikurya[/QUO
Endelea kutafuta majina ya kikuda ya hao mashoga wa Ugahibun kule watu wanajiita Waitara, Chacha nk nk nk lkn wanapamba mbaya. Na hiyo shule usemayo ina jina la Kikurya imetoa Madon kibao tu ambao wanafanya uwe nyuma ya kiibod leo. Wape hi Luzangi na Mgoya Kitambo sana hiyo 98 Nyegina kupiga ndondo
 
Ni shule ya mseto inamilikiwa na kanisa katoliki jimbo la Musoma,tunazo kumbinations za PCM,CBG,HGL NA PCB.SHULE IKO UMBALI WA KM 16 KUTOKA MUSOMA MJINI.INA HUDUMA ZA HOSTELI,UMEME NA MAJI.KWA MWAKA HUU 2018 NDO TUNATOA WANAFUNZI WA KWANZA FORM SIX,KARIBU KWA AJILI YA KUJIUNGA FORM FIVE-2018,JULY.KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 0789443404 /0762364740

Interest yangu kubwa ipo tu katika kujua ni kwanini waliamua kuiita hiyo Shule hilo jina la Nyegina? Hatutaki Watoto wetu Wakishahitimu hapo wawe na ' Nyegina ' nyingi ambazo zitawasababishia matatizo mbalimbali.
 
MAWENI High School......Rocks High School
....... Ngegina High School. (NYEGINA ... SEHEMU YENYE JIWE/MAWE in local language....ABAKWAYA/ABAGANGAJI) Tusipende majina ya kuja na Meli wadau. ingia mtandaoni tafuta kwenye wikpedia Mkuu
 
Interest yangu kubwa ipo tu katika kujua ni kwanini waliamua kuiita hiyo Shule hilo jina la Nyegina? Hatutaki Watoto wetu Wakishahitimu hapo wawe na ' Nyegina ' nyingi ambazo zitawasababishia matatizo mbalimbali.
Nnachofahamu kwakuwa nimewsi kuishi huko. Nyegina ni kijiji na shule ipo katika kijiji cha Nyegina hivo ikaitws jina la kijiji husika
 
Interest yangu kubwa ipo tu katika kujua ni kwanini waliamua kuiita hiyo Shule hilo jina la Nyegina? Hatutaki Watoto wetu Wakishahitimu hapo wawe na ' Nyegina ' nyingi ambazo zitawasababishia matatizo mbalimbali.
Mkuu leo una akili zako za usiku[emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom