bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Kama kichwa kinavyosema,nina Tata pickup nataka niibadilishe body niweke lenye fridge.Kama unalo/unajua jinsi ya upatikanaji wake nicheki 0752049729
Wapi wanatengeneza haya mavitu mkuu?Dah....kwanini usijenge mwenyewe?