Sir Teacher
Senior Member
- Nov 16, 2015
- 111
- 99
Habari jamani, nipo Iringa, ninauza mbegu bora za vitunguu maji vyekundu. KARIBUNI
Uliza swali halooWeka taarifa kamili, iko nusunusu sana hiyo
Haya bana kama unaons tangazo lako liko kamili endelea na biashara yakoUliza swali haloo
Nifundishe kipi kinamiss hapo nijazieHaya bana kama unaons tangazo lako liko kamili endelea na biashara yako
Bei kwa kipimo ni kitu cha msingi,Nifundishe kipi kinamiss hapo nijazie