Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ipo Pumwani Mita mia 2 kutoka ilipo barabara ina vyumba viwili vilivyokamilika na ina eneo kubwa la kujenga metre 20 kwa 28 gari linafika hadi mlangoni kuna umeme maji ndo usiseme nauli ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naitwa Enock, napatikana Mbeya, mimi ni fundi wa kutengeneza sofa pamoja na vitanda vya sofa. Napokea oda pia kama ukihitaji. Mawasiliano yangu ni 0652874876, 0621053216 na 0758079171
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Simu bado ipo kwenye condition nzuri, haina crake wala mchubuko kwenye screen, inahifadhi chaji, ina nchi 7, 16 Gb na 1 Gb Ram, kwa 180,000 tu, unapata na Flip cover yake.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nipo kigamboni dar Kuku wapo 60, wa miezi 2,3,4,5 Mitetea ndio wengi majogoo wachache Bei kuanzia 11,000 Nna safari ya haraka sana hao wadogowadogo ni maelewano tuu 0625512092 0715878280
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuroiler wanapatikana Tuangoma kigamboni kwa elfu 12
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, Kampuni ya Urban Farming inayojihusisha na utafiti na uzalishaji wa viazi lishe, ikijikita nyanda za Kazikazini hususani mkoa wa Arusha. Inakutangazia kuwa wameanza kuvuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ipo Mafulala Sumbawanga-Rukwa Haijaisha bado Bei 7ml Wasiliana na ILS(T)LTD
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Habari wandugu Naomba kuuliza bei na sehemu wanaponunua miamvuli,nylon coats(rain coats) kwa bei ya jumla nataka niongeze bidhaa dukani mana ni fursa hasa kipindi hiki cha mvua. Napatikana DSM...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
HP compaq Desktop inauzwa 250,000/- HDD 250 Gb RAM 2.00 Gb Processor Intel (R) Core (TM) i3-2120 CPU @ 3.30Ghz One CD rom drive Monitor DELL 21 inch Keyboard Mouse All wire cable Kwa mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza tecno y6 65000 ina 8gb haina tatizo nasafiri kesho 0683848116
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://www.kibitidc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/MIKOPO YA TREKA.pdf NB: tangazo lina jieleza... uvivu wa kitanzania na maswali ya siyo ya msingi wakati mimi ni informer tu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wandugu salaam! Naomba kujuzwa hali ya soko la mboga mboga Dodoma ukilinganisha na Morogoro. Nataka nianze kuchukua mbogamboga Morogoro nipeleke Dodoma. Nijuzeni jamani upepo uko vipi huko! Naomba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HIVI NDIVYO UNAYO WEZA KUUNDA KICHWA KWA KUTUMIA 3D PROGRAM UNAWEZA FANYA HIVI ENDAPO UKIWA NA ELIMU YA 3D PROGRAM AMBAYO TANZANIA KWA SASA VIJANA WENGI WANA ISOMEA HII APAAA YouTube BONYEZA HAPA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kama title inavosema, .Natafuta chumba maeneo ya karibu na temeke hospitali Sifa za chumba: kiwe self, tiles na gypsum
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Husika na kichwa Cha tangazo happy Juu ninauza used laptop aina ya Lenovo na Hp.sifa zake hizi hapa 1. used lenovo thinkpad x220 medium pc, processor core i5-2520M,ram 4gb,hdd...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, nasikia kipindi cha mavuno mpunga hufikia hadi elfu tano kwa debe moja na gunia hufikia hadi elfu hamsini. Swali langu ni kwamba hili debe ukikoboa unatoa kg ngapi za mchele? Na hili...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Habari Gari aina ya Toyota raum new model inauzwa,tuwasiliane kwa namba 0719308160 kwa anayehitaji. Gari ni namba DEB ipo Dar,ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote, nyaraka zote za...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Habari zenu wadau... Mimi ni mtumishi nimepangiwa kazi halmashauri ya wilaya ya musoma mjini... Nilikuwa naomba kujua bei elekezi ya vyumba vya kupanga chumba na sebule itapendeza ikiwa na choo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
'It's hard to say when but this is a certainty': Bill Gates warns another financial crisis is coming like the 2008 Great Recession Bill Gates participates in a Reddit 'Ask Me Anything' and...
0 Reactions
4 Replies
590 Views
Napenda niwasalimie wana jamii forums,natumai hamjambo,kama unajihisi hauko sawa kiafya basi nikupe pole. Wapendwa,naomba niwasaidie watu wenye shida ya amoeba,kiukweli ni ugonjwa ambao unakosesha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…