NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA IPO MBEZI JUU.

NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA IPO MBEZI JUU.

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,544
Reaction score
1,874
Kama wewe ni mnunuzi wa uhakika, au una mnunuzi mwenye uhakika nicheki inbox upate nyumba nzuri na imara yenye
-vyumba vitano vya kulala
-sebule
-sehemu ya chakula na jiko
-ukumbi mdogo wa sinema
-ofisi ndogo
-na nyumba ndogo ya wanyakazi ya vyumba viwili

Kiwanja kina ukubwa wa square metre 4319(viwanja viwili)
Nyumba iko kwenye eneo lenye uslama na linalofikika kirahisi maeneo ya MBEZI JUU njia ya goba.

Pia nyumba ina bima kubwa ya mwaka mzima.

Bei yake ni 650m ingawa kuna nafasi ya mazungumzo.

Tafadhali nifate inbox tufanye biashara.

Asante

IMG-20180306-WA0007.jpg
IMG-20180306-WA0008.jpg
IMG-20180306-WA0011.jpg
IMG-20180306-WA0011.jpg
IMG-20180306-WA0012.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom