mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,186
Hello wana JF,
Naombeni msaada wa mahali ambapo naweza kununua nguo za kodroy (kodry) kwa hapa DSM. Nitashukuru iwapo kama nitapata mwongozo mzuri. Asanteni.