Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye Mali tuchekiane haraka,nipo Dar es Salaam
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Naomba kujuzwa kwa wale wakazi wa Jiji la Dodoma ninaweza kupata kiwanja ambacho bei yake ni chini ya Mil. 1 hata kama ni shamba? Eneo nauli kutoka mjini isizidi 500, au kwa namna...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
...Wanajamii F,nauza viti vya plastic,vyeupe viko 100pcs..kila kimoja @11,000/- tu..! Nilivinunua kwa ajili ya kuvikodisha kwenye shughuli mbali mbali ila sasa nimehamia sehemu nyingine,ni kama...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Nahitaji nguruwe ,Mbegu nzuri ya kufuga.Niko Mbezi kimara DSM,mwenye nao anichek 0757265744.
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Habari za majukumu ndugu zangu wana JF ,kama title inavyojieleza,naomba msaada wa kupata gari ya bei ndogo (used). Nahitaji usafiri wa mambo yangu ya hapa na pale. Mwenye kuweza kunisaidia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Vitanda vya mninga viwili kimoja 6 kwa 6 na cha pili 3 kwa sita. Maelezo na mawasiliano njoo pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Husika na kichwa cha uzi hapo juu. Mimi nipo Dar, ni mfanyabiashara mkubwa wa kusambaza maziwa aina ya Tanga fresh na Asas. Kwa sasa nahitaji kukuza zaidi biashara yangu kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa sasa tunatoa huduma za kuweka windows 8,7,starter.xp ..linux series kama Ubuntu Tuna unlock modem tunatoa unlimited internet kwa elfu kumi 2 piga voda 0753932250...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalam wanajamvi,kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mafuta makali kwa ajili ya kusafishia madumu yaliyokuwa yamewekwa gundu anayefahamu anijuze mahali napo weza ya nunua
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamii forum, naitaj kupata msaada kwa mtu alie mwanza anielekeze mahali napoweza kupata samaki wabichi kwa bei nzur nataka nianze biashara hiyo nanunua na kuwakaanga arafu nauza sina...
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Habari wandugu Naomba msaada wa kujulishwa sehemu nitakayoweka kupata aina hii ya sabuni (shaza soap) kwa bei ya jumla hapa dsm , mi napatikana ubungo riverside
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina usafir binafsi nasafir kutoka mbeya kuelekea dodoma , nahitaji watu sita wa kupiga nao story njia kwa bei rahis watakayonichangia mimi Mbeya mpaka iringa 10000 Mbeya mpaka dom 18000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa bei ya cement nikiinunua direct kutoka kiwandani. Au kama kuna mfanyabiashara wa cement naomba aje PM tuongee biashara nahitaji large quantity of cement kila week. Nashukuru...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hard disk 500gb tsh70000. Wireless huawei line zote 4g tsh75000. Nicheki 0754 604567 call sms whatspp
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Habari wandugu naomba anaejua nitakapopata power supply ya Haier smart TV 32inch Asante
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Habari, ninatafuta kampuni inayofanya export ya nyama hasa export ya utumbo wa ng'ombe( beef omasum). Kama unafanya au unamfahamu anaefanya hiyo biashara naomba tuwasiliane. 0652601602
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau natumaini hamjambo Naomba kwa anayeweza au anayefahamu hivi gharama za kusafirisha mizigo ya kifamilia toka Moshi kwenda kigoma inaweza cost tsh ngapi?? maana nategemea mwezi disemba...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Namba hii hapa 0757802404 mkamateni sasa mpuuzi huyu!!
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Grams 52 bei 180000 nicheki 0715407585
0 Reactions
3 Replies
2K Views
“Sub-Woofer” aina ya Aborder AB 831BT kama inavyoonekana katika picha, inauzwa kwa bei ya shilingi laki moja tu (sh.100,000/=) bila punguzo. Vilevile pata “Deep Fryer” kama inavyoonekana kwenye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom