Ambazo hazijakamuliwa plsHabar ya asubuhi wenzangu .nnahitaji vanilla nyingi au naamaanisha mzigo wa vanilla ambazo hazijakamuliwa .naombeni mnielekeze mahali zinapopatikana au ambae anazo anijulishe ntashukuru sana mtakaomisaidia na Mungu awabaliki