ENEO LINAUZWA LIPO KIMALA NG'OMBE BAGAMOYO KM 4 KUTOKA BAHARINI, LINA UKUBWA MITA 22887 ZIMEPIMWA. MAJENGO 2, VYUMBA VIWILI VYA MADARASA, OFISI NA NYUMBA YA KULALA SEBULE NA JIKO. MITI YA MATUNDA...
Jipatie mbegu bora ya papai aina ya Calina California Papaya yenye kuzaa papai had 140 kwa mwaka, papai zake ni taaam sanaa na kubwa zenye ganda gumu linaweza kustahimili kukaa had siku 14 baada...
Mwenye hiyo ngano hapo juu nahitaji ya ku-prout fodder kwa ajili malisho ya mifugo anijulishe na bei anayouza kwa kilo moja, niko Moshi . Tel no 0714-600802
Kama nilivyoeleza hapo huu,nimekutana na wakala hii kampuni na amenieleza mambo mengi kama ya ujasiriamali n.k.Sasa kidogo nimekuwa na hofu ktk gharama ninazopaswa kulipwa na Pia na uhakika wa...
Bei chee magari ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari ya kuanzia MIL 3 kuendelea yenye hali nzuri
Epuka kalaa za mwendokasi na daladala kama kukanyagana,kunusa vikwapa, wanawake...
Wakuu nina shida sana na mashine used ya kuoshea magari (pressure washer), naomba mnipe location ya maduka hayo.
Kama unayo pia haitumii nitashukuru tukiongea wakuu
*OPTIMAL FIRMING LOTION*
Page 61 code 31314
[emoji830]Hii ni seti nyingine ya optimals body ambayo hutumika kwa ajili ya ku tight mahali ambapo kuna nyama za uzembe./nyama zilizotepeta...
wakuu Habari zenu... nauza la shamba kwa ajili ya kilimo.... shamba lipo vikindu eneo ni zuri lipo karibu na mto...waweza Fanya kilimo cha umwagiliaji.. ukubwa heka moja.. bei ni milion kumi na...
Wakui vipi tena.
Kuna wallet zinauzwa. Sealed. Slim.
Sorry zipo sealed so sijapiga picha zake. Ila I guarantee zipo kama unavyoziona.
Bei ni 20,000 tu.
0758095750
Wadau msaada haya matunda ya almonds hapa bongo inapatikana sehemu gani.je mti wake unastawi kama nikiamua kuupanda na unachukua mda gani mpaka unakua na kutoa matunda.wapi ntapata mche wake?
Kama unahitaji kiwanja Arusha au shamba bei kuanzia mil tatu Tafadhali naomba uni WhatsApp kwa 0716063699 nitajie eneo ukubwa unaohitaji nami nitakupa bei kulingana na eneo husika bei zetu ni...
Karibuni wadau, Broilers wa wiki 4 wana uzito poa kabisa wanapatikana kwa Tsh 5500 kila mmoja. Tupo Dsm Temeke, tuwasiliane kupitia 0686312659 au 0777774020 (Whatsapp).
#Ufugaji #Kilimo
Habarini za kutwa wakuu. Nipo katika utafiti.Nahitaji kufanya Biashara ya mifuko ya khakhi. Tatizo langu ni kwamba, je ni wapi nitapata hiyo malighafi kwa hapa Dar?
Natanguliza shukran
Habari wana jamvi jana usiku nilikuwa natoka gongo la mboto kwenda mbagala nilipanda UDA nikashuka saba saba karibu na Kipati,baada ya kushuka na kuvuka barabara kama dakika kumi baadae nikagundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.