Kwa Wanaohitaji viwanja Arusha

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Kama unahitaji kiwanja Arusha au shamba bei kuanzia mil tatu Tafadhali naomba uni WhatsApp kwa 0716063699 nitajie eneo ukubwa unaohitaji nami nitakupa bei kulingana na eneo husika bei zetu ni Rafiki mno
 
Kama unahitaji kiwanja Arusha au shamba bei kuanzia mil tatu Tafadhali naomba uni WhatsApp kwa 0763772636 nitajie eneo ukubwa unaohitaji nami nitakupa bei kulingana na eneo husika bei zetu ni Rafiki mno
50*30 maeneo ya kijenge, morombo, muriet ni bei gani?
 
Kuna kiwanja kizuri sana kipo mita 200 kutoka lami
Kipo murieti dampo ukubwa ni 10*20 bei ni mil nne na nusu tu yaani kuna maji, umeme nguzo ipo hapo hapo ni sehemu ambayo inaendelea kwa kasi sana na lami umeshafika
 
Hyo bei ya milion 4.5 ni kile pale tu kilicho barabaran
ambavyo vipo ndani kidogo labda umeme kwa karibu ila maji yapo mpaka million 3.3 vipo mpaka 3 anapata 10*20
 
Naomba kuuliza ,ni bei gani kupata kiwanja ambacho naweza kujenga nyumba yenye nyumba vitano vitatu vya kulala na viwili ,kimoja dinning room na kingine jiko na sebule moja pamoja na car parking ya gari moja au zaidi.
 
Back
Top Bottom