Gari ipo DSM
Vibali vyote vipo kamili njoo na fundi wako ukague
Nicheki PMView attachment 765341View attachment 765342View attachment 765344View attachment 765346
Ok....heading yako nmesoma inahitajika!Mimi ninauza siyo kwamba nataka kununua
Gari nzuri.....Inahitajika hiyo Mil 3.5 mkuu
Unataka aseme Vyuma Mkuu?kwa nini unaiuza?