djesco
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 166
- 52
Habari wana jamvi jana usiku nilikuwa natoka gongo la mboto kwenda mbagala nilipanda UDA nikashuka saba saba karibu na Kipati,baada ya kushuka na kuvuka barabara kama dakika kumi baadae nikagundua kwamba nimesahau vyeti kwenye staff career, na mbaya zaidi kondakta hakutoa tiketi na namba ya gari siikumbuki,nikaenda mpaka kwenye yard ya UDA kuulizia wakaniambia wataangalia kwa kila gari itakayorudi kulala ila mpaka sasa sijapata taarifa yoyote. Asubuhi nikaenda kutoa taarifa kituo cha polisi Mbagala kizuiani na nimepewa loss report.
Vyeti vilivyopotea vina majina ya SADICK JAPHARI navyo ni kama ifuatavyo;
1.Cheti cha kumaliza chuo kutoka chuo kikuu cha Dar es salaamchenye namba BA(S) 0000519,
2.Cheti cha kidato cha sita kutoka pugu sekondari chenye namba ya mtahiniwa S0147-0543
3.Cheti cha kidato cha nne kutoka Azania sekondari chenye namba ya mtahiniwa S0101-0399
4.Cheti cha kuzaliwa chenye namba 100224425
Jamani kwa yeyote atakayeviokota naomba anipigie simu namba 0673404808.Zawadi nono itatolewa.