Huuu
Senior Member
- May 2, 2017
- 116
- 61
Habari za zenu wanajf!
Nauza nguo za watoto za kike na za kiume za kunzia umri wa miaka miwili mpaka kumi, na ni za dukani, pia kwa ambao ana malengo ya kuanzisha duka zitamfaa zaidi maana pia kuna vifaa kama hanger na nondo kwa ajili ya kutundikia nguo.
Kwenye picha ni baadhi nguo zilizopo, Karibuni sana.