2005 TOYOTA VITZ (New Model)

2005 TOYOTA VITZ (New Model)

Top Thinker

Senior Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
183
Reaction score
125
BF70605_1.jpg



WAKUU WENYE UFAHAMU NA MAMBO YA KUAGIZA MAGARI NAOMBA MSAADA,

Nahitaji kuagiza gari kama hii niliyoweka kwenye picha:

FOB Price ni US Dola 2468.

Engine Size ni 990cc

Na mwaka ni 2005


Je gari kama hii nikiiagiza, gharama zake zoote, mpaka naiweka barabarani itakuwa ni shilingi ngapi??

Na yard za hapo Dar es Salaam gari kama hii wanauza shilingi ngapi??

UR HELP IS HEARTFELT APPRECIATED....
 
To order is always cheap, siwezi Sema bei ya hii Gari Yafo, ila Carina TI cc 1490 Ni 12m - 14m yadi, niliahiza kila kitu Mwenyewe imetembea 23,000km tu, bei Ni 8.6m mpaka Arusha, you can see the differce.

Kwa bei hiyo hapo juu total price mpaka Dar might be 7.4m, as said kuagiza Mwenyewe Ni cheap sana and nice.
 
ushuru, reg no. na bei ya agent itakuwa kati ya 3 - 4M.
unaweza kucheki mwenyewe kwenye site yao TRA ambapo kuna fomu zao za kupiga mahesabu
 
Hivi unapoagiza gari nje ya nchi uwezekano wa kutapeliwa pesa zako haupo?
Maana unalipia elecronically tuu kwa watu mbao hata huwaoni.
 
Easily done, FOB price x 2!! ndiyo gharama ya kufikisha mlangoni.
 
hiyo gari ni kimeo balaa..muulize fundi wako gari ya piston tatu akuambie shughuli yake
 
Back
Top Bottom