Tunatengeneza Website Nzuri kwa bei nafuu

Tunatengeneza Website Nzuri kwa bei nafuu

EliHMasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
248
Reaction score
183
Kampuni yetu inaitwa Kakoma electirical works &ICT engeneering
Huduma tuzitoazo
ICT works
1.Tunatengeneza Professional Website kwa bei nafuu(Website design)
2.Design information system.
3.Tunafanya Network design&installation
4.Design Android Application
5.Logo design
6.Software installation
7.Website hosting

Electrical works
1.AC and Refrigeration
2.Motor winding
3.Domestic electrical installation
4.Solar installation
Upande wa ICT ina ICT Engeneers waliomaliza vyuo vikuu na kufanya kazi kwenye kampuni mbali mbali,wanauzoefu mkubwa na hizi kazi,waliamua kuungana na kuanzisha kampuni yao.Pia upande wa Electrical works tuna power technicians wenye uzoefu wa zaid ya miaka kumi kwenye hii field.Wameshafunga AC nyingi tu kwenye ofisi za serikali,solar installation kwenye miradi mbali mbali na kazi nyingi za motor winding na domestic electrical installation.

Kwa mawasiliano piga simu namba +255788252999,+255718218903
 
Je waweza tuwekea na bei za kila ufanyacho?
 
bei nafuu ndio gani hiyo, weka bei usiweke porojo za bei nafuu
 
inamamaana mnatengeneza website wakati nyie hata website yenu hamna ya mfano au ndo usemi huyu fundi mzuri wa sofa nyumbani kwake anakalia kigoda

tuwekekee website yenu na e - mail yenu
 
Taarifa nyingine tutazileta zaid,mlizouliza wadau
 
Halafu nimejifunza kitu.....watu mnaosoma masomo ya IT hampo vema katika business skills......

Mnachojua ni kuchaji bili ya kutengeneza website na majibu mnatoa ni kama mlinzi wa monchwari......bila kujua hivi vitu ni vigeni sana katika jamii yetu na vinahitaji ushawishi wa hali ya juu kwa wateja!
 
Ila bakini hivyo hivyo mtakuwa mkisubiria tenda za kuitwa na makampuni makubwa tu ila kupata wateja wa kada ya kati na chini itakuwa ndoto mkiendelea hivi....watu hela za kufungulia websites wanazo ila ni namna gani mnawapanga na kuwapa wanachotaka sio vile nyie mnataka
 
Back
Top Bottom