John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 837
- 1,292
HABARI JF MEMBA,
Mimi natafuta bidhaa inayofanana na hizo picha ili niweze kuangalia tv channel kupitia mawimbi ya satelite kwenye kompyuta yangu. Naomba kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo naweza pata hiyo tv tuner device hapa Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukran!