Nahitaji Mbolea YaraMilla

Nahitaji Mbolea YaraMilla

The Farmer TZ

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
21
Reaction score
7
Habari wakuu, nipo Dar Es Salaam nahitaji mbolea YaraMilla...Otesha, Winner &Nitrabor@10Kgs
Kama ipo nipe bei na location..
 
Hujui kama mamlaka husika wamekataza kupima kwa kilo ?
Mi mwenyewe nimeshatafuta sana ya kupima
 
Sijawahi kupata Duka wa nauza yara kwa kwa kupima kila zingine wanapima
 
Sijawahi kupata Duka wa nauza yara kwa kwa kupima kila zingine wanapima
Yara wanauza mbolea kwa vipimo tofauti tofauti mfano kilo 5,10,25,50. Zinakuja zikiwa packed hivyo toka kiwandani. Unataka vipimo vya namna gani? Kilo moja au nusu kilo au?
 
Yara wanauza mbolea kwa vipimo tofauti tofauti mfano kilo 5,10,25,50. Zinakuja zikiwa packed hivyo toka kiwandani. Unataka vipimo vya namna gani? Kilo moja au nusu kilo au?
Nahitaji 10kgs, Yara otesha, Winner & Nitrabor
 
0746909093 Yara jiunge group lao what's up nimeifuma hii namba fb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom