Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

KARIBUNI MJIPATIE RAMANI BORA KATIKA MFUMO WA PAA LISILOONEKANA AMBAPO UTAPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI KATIKA KIWANGO CHA HALI YA JUU SANA UNAWEZA KUONA BAADHI YA KAZI ZANGU...
2 Reactions
57 Replies
10K Views
Tunakodisha na Kuuza vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121 0624070833
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Nimerudi tena wana JF kwenye jukwaa letu pendwa, baada ya kupost uzi wangu Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya nilipata watu wengi sana ambao mpaka leo wanatumia mayai fresh ya kienyeji kutoka...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakulima wengi kwa sasa wanavuna ufuta mashambani, soko zuri la ufuta bado ni changamoto kwa wakulima wengi wa mkoa wa Pwani. Naomba michango yenu, wapi na ni nani ananunua ufuta na kwa bei gani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Zimetumika hpa hapa mjini sababu ya kuuza ni gari inatarajia kusafir masafa marefu unaenda Kenya then Uganda ndio maana zimevuliwa zipo moroko airtel kama zinavyoo onekana hapo ziko poa sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukiwa kwenye mkakati wa kuifanya brand ya "made in tanzania" kuwa ya kipekee kampuni yetu ya if you know you know inakuletea bidhaa mbali mbali kama tshirt, pen, band, wallet, na keyholder kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dell latitude e6530
0 Reactions
9 Replies
3K Views
young_mesult 14:07 Today oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
0 Reactions
4 Replies
890 Views
Nahitaji vitu tajwa hapo juu DVD player with USB port kwa 30000 na ps2 kwa 15000 au ps3 taja bei yako ..WhatsApp or text 0718776676
0 Reactions
2 Replies
902 Views
nipo kinondoni dar,nahitaj ps 3 iliyokuwa cracked,inayoingiza games,yenye games kadhaa,0655674747
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye playstation 3 naomba aniuzie...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
Nauza PlayStation 4 used ikiwa pamoja na pad 2 , HDM wire , ikiwa na game ya FIFA 18
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazima humu? Jamani naomba mwenye kujua bei ya gunia la ufuta kipind hiki cha mavuno na wastani wa bei ya kuuzuia katika soko kipindi ambacho sio cha mavuno. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu Kama kichwa habari apo juu, nanunua mazao hayo kwa bei nzuri, kama unakuanzia 500kg mpaka tani 20,nicheki pm tuzungumze biashara Natanguliza shukrani Cell No; +255766687168
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wauzaji bei ngapi kilo ulipo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wafugaji na wanunuzi na wauzaji wa kuku wa kienyeji na kisasa tukutane hapa Weka aina ya bidhaa yako hapa ikiwa ni pamoja picha na umri kama ni kuku bei, mahali ulipo pamoja na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa vijana wanaohitaji kuapply mikopo mfumo ulishafunguliwa na Bodi ya mikopo. Kama unashindwa kuapply kwenye mtandao tunaweza kuwasiliana ili kusaidiana katika kutuma maombi online.Ukipata...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WAna board Hi, naomba kuuliza, naweza pata kwa kiasi gari lenye taarifa hizo hapo juu? (ie BREVIS 3000Cc Reg # ...DLL Likiwa kwenye hali nzuri, 70000km
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom