Nauza maziwa ya soya ya Maji

Nauza maziwa ya soya ya Maji

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
433
Reaction score
91
Kichwa cha habari chahusika maziwa safi ya soya ya maji yanapatikana liter Tshs 2,000/. Napatikana Dar Es Salaam, Ubungo. Ukiorder lita kumi na zaidi unaweza kuletewa ulipo. Kwa mawasiliano zaidi piga 0713-906335 au 0788318671. Karibuni
 
Attachments

  • FullSizeRender.jpg
    FullSizeRender.jpg
    14.9 KB · Views: 48
  • IMG_5165.jpg
    IMG_5165.jpg
    15.2 KB · Views: 49
  • IMG_5167.JPG
    IMG_5167.JPG
    16.9 KB · Views: 40
Mmh .hivi vitu ndio navisikia leo.ngoja wajuzi waje mkuu
 
Hii kitu iko sana kaka maana soya ndio maziwa pekee yasioyo na allergy kwa binadamu. Kuna watu kadhaa wako allergy na Lactose iliyoko kwenye maziwa ya wanyama tafuta kwa kugoogle. Benefit of Soya Milk, Hizi ni faida chache za maziwa haya
  • It’s a good source of protein, vitamin A, vitamin B-12, potassium, and isoflavones, plus it can be fortified with calcium and vitamin D.
  • It contains as much protein as cow's milk, yet is lower in calories than whole milk and about equal to the calories in 1 percent or 2 percent milk.
  • It contains very little saturated fat.
Ahsante
 
Bado kaka ila ikifika ile ya kutengeneza powder tutaleta tu na huko. Au tukifika level ya kupack ile yasiharibike tutawasiliana tu ndugu.

QUOTE="Songa heri, post: 27244874, member: 351635"]Na sisi wa mikoani vipi mkuu hauna matawi ?[/QUOTE]
 
Aisee! Nayo yanakuwa na fresh na mtindi, au? Yana expire baada ya muda gani?
 
Haya maziwa fresh yanatunzwa tu kama unavyotunza maziwa fresh ya ng'ombe ukiyaacha bila kuweka kwenye freezer au fresh yanaganda. Kuna mtindi pia ila huo unatengenezwa kwa order ukitaka unatengenezewa.

Aisee! Nayo yanakuwa na fresh na mtindi, au? Yana expire baada ya muda gani?
 
Nilitembelea kikundi flani cha wakina mama wakanipa hayo maziwa na keki ya soya, kwakweli nilishiba!
 
Hii kitu iko sana kaka maana soya ndio maziwa pekee yasioyo na allergy kwa binadamu. Kuna watu kadhaa wako allergy na Lactose iliyoko kwenye maziwa ya wanyama tafuta kwa kugoogle. Benefit of Soya Milk, Hizi ni faida chache za maziwa haya
  • It’s a good source of protein, vitamin A, vitamin B-12, potassium, and isoflavones, plus it can be fortified with calcium and vitamin D.
  • It contains as much protein as cow's milk, yet is lower in calories than whole milk and about equal to the calories in 1 percent or 2 percent milk.
  • It contains very little saturated fat.
Ahsante
Ladha yake ipoje mi sijawahi kunywa
 
Ni mazuri unatumia kama maziwa mengine kwa na ukijazoea hutaweza kuona tofauti na maziwa mengine ya wanyama. Mfano wakati naaza kutumia nyumbani kuwa baadhi ya watu walikuwa wanakataa kutumia kabisa wakisema hawawezi kunywa maziwa ya mimea sasa baadaye nikawa nawawekea kwenye chai au mtu akiomba maziwa unampa unaweka iliki na viongo vingine vya chai. Sasa siku unauliza ulingundua tofauti kati ya hayo uliyokunywa na maziwa ya ng'ombe wakabisha hayo waliyokunywa ni ya ng'ombe ndipo nilipojua kuwa hayana tofauti kubwa kama mtu anasema haya ni ya ng'ombe sio ya soya na hapo ndipo ulipokuwa mwanzo wa kuyatumia kwenye nyumba yetu bila issue. Na wageni tukawa tunawapa tuu wanasema maziwa matamu baadaye tunawaeleza ulioyokunywa ni maziwa ya soya. Na hapo nilipogundua kwamba kuna wakati tunaweza kukataa vitu kwasababu tu y fear of unknown au kujaribu kitu kipya nayo ni issue nyingine.

[emoji39] [emoji39] [emoji39] matam et?
 
[emoji39] [emoji39] utanionjesha japo kifuniko cha hyo chupa kabla ya kununua?
 
Back
Top Bottom