Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habari za jioni nahitaji kununua blender kwa matumizi madogo madogo tu ya kigheto maana naishi mwenyewe,nilikuwa nahitaji kampuni gani ni nzuri ambayo bei yake aizidi elfu 70
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Heshima kwenu wanajamiiforums. Mimi ni kijana wa kiume, mkazi wa Mbezi Beach B. Ninakuja kwenu kuwatangazia huduma ya kufundisha wanafunzi wa ngazi ya msingi na sekondari masomo ya ziada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Kifaa tajwa hapo juu kiko sokoni kwa bei ya laki 2 tu. Kinapatikana Dodoma. Ni fridge nzima na haina dosari yoyote, sababu ya kuuza ni dharura tu ya pesa. Nipigie simu kwa 0687...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF kuna mzigo ninataka kulipia Kenya. Sasa kuna rafiki yangu ameniambia kuna baadhi ya wafanyabiashara wapo hapa Dar es salaam wana line za Safaricom na huwa wanafanya hii biashara Yaani wewe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za Majukumu wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote anaye jua Wanunuzi wazuri wa Korosho Kwa Dar es Salaam, Pwani au Morogoro. Naomba kufahamishwa, ninao mzigo wa kutosha mahitaji mnunuzi serious...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,naomba mwenye kujua bei za mashine zifutazo anifahamishe na mahali zinakopayikana na za kumenya mpunga SB 30 SB 50 Bei yake kwa tz wadau WhatsApp no +255789139153
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu Uzi huu ni maalumu kwa watu wanaotaka kununua vitu nje ya nchi na wanashindwa jinsi ya kuvipata kwa wakati au kuogopa upotevu wa bidhaa yako. Ninakurahisishia kwa kukupa address...
0 Reactions
5 Replies
954 Views
Wapi naweza pata toners za hp (compatibles) za bei rahisi kwa Dar es salaam , au watu wa ku refill lakini waweze kufanya packaging nzuri Comment hapa au inbox. Thanks
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Mwenye kuweza kunisaidia tafadhar
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za weekend wadau, nauza madini ya Quartz, 180000/- kwa kilo. Ni PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Nahitaji Tecno L8 iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo anicheki 0744885000
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji mashine used ya kufyatulia tofali ya Bambam ya Inchi 5 na vibao vyake. Budget ni laki 1 (Negotiable). Nipm kama unayo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Samsung 32 inch flat screen ex dubai on sale @ Kshs. 17,000/= Inbox for more information.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
aina ya simu ni HALOTEL line mbili.sio touch screen Haina tatizo ila tu Nina shida ya hela. maelewano yapo. nipo dar. kama upo tayari ni pm.
0 Reactions
2 Replies
804 Views
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Natafuta Kiwanja Dodoma, kuanzia ukubwa wa 450 sqm Ofa: Mil. 3.5 had 4, Kiwanja kiwe kimepimwa Maji na umeme viwe karibu, barabara (daladala) iwe inafika. Pasiwe mbali na mjini (Isizidi km 15)...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenye haya mawe ani inbox namba ya simu tuongee biashara
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nauza TV Solamax inch 32, inatumia umeme 110/240V, na sola.Port mbili za USB yan sehem mbili za kuchomekea flash, HDMI port mbili pia, Port VGA kwaajili ya computer, output Av. TV ni mpya haina...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Computer ipo sokoni...serious buyers check me...whatsapp only 0713062706 SPECIFICATIONS HDD 1TB RAM 4GB PROCESSOR Core I5 GRAPHIC CARD NVIDIA 740 BATTERY LIFE NOT LESS THAN 5HRS BACKLIGHT...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Back
Top Bottom