Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau; Napenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo maalum yatakayotolewa katika ofisi zetu zilizopo Dar es Salaam.Mafunzo haya pia yanapatika katika mfumo wa Private study ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
COMPANY NAME: MUGETA FARMS TRADEMARK/BRAND NAME: VICTORIA FINEST KUHUSU BIASHARA: Mugeta Farms co. ltd ni kampuni changa (startup company), kwa sasa inajihusisha na value addition ya dagaa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, Nina rafiki Yangu yupo USA Sasa ana mpango wa kununua chai kutoka Tanzania. Yeye pia Ni Mtanzania ila yupo kule tangu akiwa mdogo. Kwa hyo kaniambia anataka kununua kutoka kwa wakulima wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau natafuta pc 2 za kununua (HII NI KWA WALIOKO MWANZA TU) Pc hiyo Iwe complete yaani Monitor, screen, keyboard, mouse na nyaya zake, Iwe na Ram 2 Gb na kendelea hard disk kuanzia gb...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu wapendwa. Napenda kuomba "request for quotation" ya vitenge vya kigoma, khanga, res materials, makenzi, n.k Kwa ambaye ni mfanyabiashara au anapenda kufanya biashara na anauwezo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wapendwa. Naomba kusaidiwa template ya project proposal kwa ajili ya non profit project. Unaweza kuiweka hapa kwa faida ya wengi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
BlackBerry passport kwa ajili ya spare inauzwa..imeharibika connector za keyboard kwenye motherboard..ukiweka motherboard nyingine inafanya kazi vizuri tu mkanda wa keyboard bado mzima kabisa...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Nahitaji kisimbusi cha startimes nipo arusha nahitaji cha antenna used Nipo arusha Budget yangu ni 25000 njoo pm kama unacho
0 Reactions
5 Replies
926 Views
Iliunguza kadi nikaipeleka kwa Fundi akavunja kioo,. Mwenye uwezo wa kutengeneza Aje nimuuzie.. Bei ni 150,000
0 Reactions
5 Replies
796 Views
habari za siku naitaji lim A4 bei ya jumla kama unazo ni pm
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Habari wana JF mm ni mjasiliamali wa kuuza kuku wa kienyeji, natafuta wateja ambao wanauwezo wa kununua kwa jumla, Nina kuku zaidi ya 150 majogoo kwa mtetea, nipo Dsm kwa mawasiliano zaidi piga...
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Habari wakuu,nina ndoto za kufanya ukulima na ufugaji kuwa ndio ndoto yangu ya maisha,changamoto kubwa ni wapi nitapata mafunzo ya ukulima na ufugaji kwa muda wa miezi,mwaka mmoja au miaka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019. TTCIH...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
ina 20k na zaidi njoo pm
0 Reactions
1 Replies
493 Views
Habari wadau kwa wakazi wa Mwanza, Kiwanja kinauzwa kuna nyumba ambayo haijaisha ambayo inahitaji tofali 800 kufunga lenta ina vyumba 3 pamoja na master bed room maji yapo karibu pamoja na umeme...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Used laptop inauzwa, imetumika miezi michache na ina tatizo kwenye kioo. Kioo kilipata hitilafu, kitu cha ncha kali kiligonga. Napatikana Dar, mawasiliano WhatsApp
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za Jioni; Napenda kuchukua fursa hii kuwaalika watu wote wanaopenda kujifunza kutumia fursa zinazoletwa na tehama ili waweze kupata mafunzo maalum ya Ujasiriamali wa Kidijitali (Digital...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Habari wakuu, Natafuta duka au mtu amabe anaweza kuniuzia hii dawa ya Snow foam kwa ajili ya kuoshea magari. Nilikuwa nanunua pale karcher lakini hawana tena na kila nkiwapigia simu wananambia...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Back
Top Bottom