Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
Habari za Majukumu wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote anaye jua Wanunuzi wazuri wa Korosho Kwa Dar es Salaam, Pwani au Morogoro. Naomba kufahamishwa, ninao mzigo wa kutosha mahitaji mnunuzi serious. Pia naomba kwa anaye fahamu anipatie mawasiliano au maelekezo kwa kina.
Natanguliza shukurani.
Natanguliza shukurani.