mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Wadau habari za jioni nahitaji kununua blender kwa matumizi madogo madogo tu ya kigheto maana naishi mwenyewe,nilikuwa nahitaji kampuni gani ni nzuri ambayo bei yake aizidi elfu 70
Kali kivipi mkuuBrenda kali bajeti elfu 70 hupati