Wadau wa JF naombeni mnisaidie nijue bei za Simtank za ujazo wa litre mbali mbali.
Sana sana natamani kujua bei ya Simtank la litre 5000 (elfu 5).
Nitashukuru sana[emoji120]
Habari wapendwa nauza fb page yangu ina watu 21k (zaidi ya watu elfu ishirini na.moja)
Karibuni sana jamani nauzia shida tuu nimepatwa na shida mnoo
Karibuni wapendwa
Ukihitaji njoo pm
Nauza karanga mkoani tunatuma,kwa aliyeko dar mzigo ukifika ndipo atalipia,kwa mikoa mingine tunatuma kwanza hela ndio tunakutumia ,WhatsApp;+255789139153
Tanzania Private Investigation Agency (Now changed to T.P.S.C ) is a licensed firm. We provide adequate investigative services from government case work to private investigations. Our staff have...
Natumaini ni wazima,,
Nauza bajaji iko mbeya mjini, iko katika hali nzuri haidaiwi chochote na watu wala mamlaka yoyote na haijapigwa rangi.
Sababu ya kuamuwa kuiuza ni usumbufu na karaha za...
Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kilivyo gusia,
1.Wapi naweza kununua fataki kwa Dsm!? Vipi kuhusu gharama zake?
2. Kuna kibali au taratibu inayo takiwa kufwatwa kabla ya kutumia fataki?
Wataalamu wa techs najua mtanisaidia katika hili,natafuta smartphone iliyo na sifa zifuatazo
1. Memory kuanzia 16 Gb
2. Iwe na quality camera
Bajeti yangu ni 300,000-400,000 Tsh
Ushauri wenu ni wa...
Habari wakuu
kama uzi unavojieleza, ninatafuta chumba cha kupanga hapa maeneo ya kilwa masoko - Lindi. yeyote mwenye taarifa au mwenye nacho naomba tuwasiliane kupitia 0765-784765
Asanteni
Habari zenu,
Nauza bajaji ipo mbeya mjini, iko katika hari nzuri haidaiwi na mtu wala mamlaka yoyote.
Sababu ya kuiuza ni usumbufu ninaopata unaotokana na madereva wenyewe niliowapa kazi ya...
Heshima Kwenu Wakuu.
Natumai mpo okay kabisa, naulizia vile vyuma vya kuunganisha kwa ajili ya mtu kupanda na kuweza kupaka rangi kwenye majengo marefu wakuu.
Mwenye navyo au yoyote mwenye...
1.Processor Intel[emoji768] Core[emoji769] i74 Mobile Processor Family with Turbo Boost Technology
2. Internal Storage18 750 GB 7200 rpm SMART SATA II HDD (with HP 3D DriveGuard)
3. Display...
Jipatie socks ,vests na Boxer za Jannele Underwears kwa bei nzuri...Free delivery kwa Dar es salaam.
Socks= 5000@
Vests ,Boxer=10000@
Piga 0768643685 uhudumiwe.
Karibuni sana.
Umaridadi huanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.