INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 2, 2018 #1 . Attachments IMG_20180702_092240_890.jpg 597.8 KB · Views: 73 IMG_20180702_092123_866.jpg 494.5 KB · Views: 65 IMG_20180702_092437_468.jpg 558.5 KB · Views: 74
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 2, 2018 Thread starter #5 SamuraiJack said: Weka picha na bei Click to expand... Tayari Nimesha Update
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 2, 2018 Thread starter #6 Elimubomba said: BEI YAKE TSH NGAPI? Click to expand... Bei Yake Ni 270k Mkuu.
Ngushi JF-Expert Member Jul 8, 2016 9,066 18,348 Jul 2, 2018 #7 hard disc 150gb Halafu unauza laki mbili na Sabin!!!!
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 2, 2018 Thread starter #8 Ngushi said: hard disc 150gb Halafu unauza laki mbili na Sabin!!!! Click to expand... Sikupingi Mawazo Yako Labda Ungetoa Mbadala Wa Bei. Kingine Nimeandika Neno "Negotiable" Nadhani Hujaliona Hapo Juu.
Ngushi said: hard disc 150gb Halafu unauza laki mbili na Sabin!!!! Click to expand... Sikupingi Mawazo Yako Labda Ungetoa Mbadala Wa Bei. Kingine Nimeandika Neno "Negotiable" Nadhani Hujaliona Hapo Juu.
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 4, 2018 Thread starter #10 Echililo said: Kula laki mkuu Click to expand... Bora Ikaliwe Na Mende
cocochanel Platinum Member Oct 6, 2007 26,767 73,433 Jul 5, 2018 #13 INRI said: Sikupingi Mawazo Yako Labda Ungetoa Mbadala Wa Bei. Kingine Nimeandika Neno "Negotiable" Nadhani Hujaliona Hapo Juu. Click to expand... Kwani uliinunua kwa kiasi gani? Na lini?
INRI said: Sikupingi Mawazo Yako Labda Ungetoa Mbadala Wa Bei. Kingine Nimeandika Neno "Negotiable" Nadhani Hujaliona Hapo Juu. Click to expand... Kwani uliinunua kwa kiasi gani? Na lini?
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 5, 2018 Thread starter #15 SamuraiJack said: Chukua 200 boss Click to expand... Nakuja PM
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 5, 2018 Thread starter #16 tang'ana said: 120 itapendeza Click to expand... Ahsante Mkuu! Amount Not Reasonable .
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 5, 2018 Thread starter #17 cocochanel said: Kwani uliinunua kwa kiasi gani? Na lini? Click to expand... Nilinunua 500,000Tsh Ikiwa Mpya Dukani. Mwaka Jana, Mwezi Wa Pili, Kariakoo.
cocochanel said: Kwani uliinunua kwa kiasi gani? Na lini? Click to expand... Nilinunua 500,000Tsh Ikiwa Mpya Dukani. Mwaka Jana, Mwezi Wa Pili, Kariakoo.
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 5, 2018 Thread starter #18 Glas said: Kijana kuna 180 hapa Click to expand... Ahsante Mkuu! Kama Upo Serious Pandisha Kiasi Tuweke Mambo Sawa.
Glas said: Kijana kuna 180 hapa Click to expand... Ahsante Mkuu! Kama Upo Serious Pandisha Kiasi Tuweke Mambo Sawa.
buyoya419 JF-Expert Member Oct 20, 2017 555 416 Jul 5, 2018 #19 km ukipenda nitafute 0742989953 Nina laki na nusu usipopenda bx
INRI JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,326 2,294 Jul 5, 2018 Thread starter #20 buyoya419 said: km ukipenda nitafute 0742989953 Nina laki na nusu usipopenda bx Click to expand... Nashukuru Sana For Your Concern Mkuu! Kama Nilivyo Sema Awali Nimenunua 500k Then Haina Tatizo Lolote Lile Kuuza Kwa Hiyo Bei Ni Ukichaa.
buyoya419 said: km ukipenda nitafute 0742989953 Nina laki na nusu usipopenda bx Click to expand... Nashukuru Sana For Your Concern Mkuu! Kama Nilivyo Sema Awali Nimenunua 500k Then Haina Tatizo Lolote Lile Kuuza Kwa Hiyo Bei Ni Ukichaa.