Madini ya Quartz yanauzwa.

Madini ya Quartz yanauzwa.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
Habari za weekend wadau, nauza madini ya Quartz, 180000/- kwa kilo. Ni PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Jamani mambo VP? Ninayo madini ya quartz nauza kilo 100000
 
Attachments

  • IMG_20180120_085007.jpg
    IMG_20180120_085007.jpg
    105.7 KB · Views: 203

Attachments

  • IMG-20171224-WA0004.jpg
    IMG-20171224-WA0004.jpg
    44.6 KB · Views: 171
Quartz yenye nyuzi tu haifiki bei hyo labda iwe glass 100%

Ova
 
Habari za weekend wadau, nauza madini ya Quartz, 180000/- kwa kilo. Ni PM kwa mawasiliano zaidi.
Wadau nina wazo! Vipi tukianzisha whatsap group kwa ajili ya madini tu! Tuweze kubadilishana habari za mbalimbali za madini mfano uhitaji/soko, machimbo, bei n.k.
 
Wadau nina wazo! Vipi tukianzisha whatsap group kwa ajili ya madini tu! Tuweze kubadilishana habari za mbalimbali za madini mfano uhitaji/soko, machimbo, bei n.k.
Afu mwishowe mkishapata namba za watu muanze kukamata watu wanaouza madini kinyemela kwa case za kuhujumu uchumi eeh?
 
Afu mwishowe mkishapata namba za watu muanze kukamata watu wanaouza madini kinyemela kwa case za kuhujumu uchumi eeh?
Hilo nalo ni la kuzingatia! Vipi tukiangalia kwa upande wa faida?
Madini yana maana pana sana.
 
Wadau nina wazo! Vipi tukianzisha whatsap group kwa ajili ya madini tu! Tuweze kubadilishana habari za mbalimbali za madini mfano uhitaji/soko, machimbo, bei n.k.
Kwenye magroup watu hawako serious....
Kama nondo tutapeana humu humu Jf tu

Ova
 
Kwenye magroup watu hawako serious....
Kama nondo tutapeana humu humu Jf tu

Ova
Ni wazo zuri! Basi tuaalikane kwenye uzi huu au tuandae uzi/title nyingine itakayohusu madini kwa ujumla.
 
Ni wazo zuri! Basi tuaalikane kwenye uzi huu au tuandae uzi/title nyingine itakayohusu madini kwa ujumla.
We unafanya biashara hii,je unauzoefu wa Aina gani ya madini ambayo unaweza kuyapata?

Ova
 
180k/kilo ni quartz gani hizo, hizi nyeupe, au citrine, amethyst,..?
 
IMG_20180127_134609.jpg
wataalamu wa madini naomba mnisaidie haya ni madini gani ,bei gani na yanapatikana wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom