Nahitaji huduma ya M-pesa - Safaricom Dar es salaam

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
Wana JF kuna mzigo ninataka kulipia Kenya. Sasa kuna rafiki yangu ameniambia kuna baadhi ya wafanyabiashara wapo hapa Dar es salaam wana line za Safaricom na huwa wanafanya hii biashara
Yaani wewe unamlipa hela ya Tz ana convert to Kenya money then anamtumia mtu ambae yupo Kenya
Tafadhali any idea hawa jamaa nitawapata wapi hapa Dar es salaam?
 
Kwa kuwa upo Dar ingependeza sana ukaenda Makao Makuu ya Vodacom pale Mlimani City huenda ungepata suruhu ya jambo lako. Pia wajuzi za hii mambo watakuja kukusaidia vizuri.
 
Mkuu hua natuma sana pesa kenya kwa M-pesa safaricom. Mara nyingi nawatumia jamaa flani wapo k/koo cjui hule mtaa unaitwaje lkn ni karibu na soko kuu, wapo office ya SIMBA COACH booking office. Nimeshafanya nao kazi zaidi ya mara 10, si wababaishaji kabisa wala hakuna makato.
 
Wana JF kuna mzigo ninataka kulipia Kenya. Sasa kuna rafiki yangu ameniambia kuna baadhi ya wafanyabiashara wapo hapa Dar es salaam wana line za Safaricom na huwa wanafanya hii biashara
Yaani wewe unamlipa hela ya Tz ana convert to Kenya money then anamtumia mtu ambae yupo Kenya
Tafadhali any idea hawa jamaa nitawapata wapi hapa Dar es salaam?

Mkuu ..... Mwambie huyo jamaa unayetaka kumtumia pesa aende Stendi ya mabasi Nairobi ilipokuwa ofisi na stop ya mabasi ya Akamba sasa hivi inapaki basi la Crown ..... Kuna offisi gorofa ya kwanza inaitwa East Africa link wanahuduma za Vodacom m-pesa na Tigopesa .... atapewa namba utakayomtumia mpesa au tigopesa na atapewa

All the best
 
Mkuu hua natuma sana pesa kenya kwa M-pesa safaricom. Mara nyingi nawatumia jamaa flani wapo k/koo cjui hule mtaa unaitwaje lkn ni karibu na soko kuu, wapo office ya SIMBA COACH booking office. Nimeshafanya nao kazi zaidi ya mara 10, si wababaishaji kabisa wala hakuna makato.
Asante kwa taarifa. nitawatembelea
 
Mkuu ..... Mwambie huyo jamaa unayetaka kumtumia pesa aende Stendi ya mabasi Nairobi ilipokuwa ofisi na stop ya mabasi ya Akamba sasa hivi inapaki basi la Crown ..... Kuna offisi gorofa ya kwanza inaitwa East Africa link wanahuduma za Vodacom m-pesa na Tigopesa .... atapewa namba utakayomtumia mpesa au tigopesa na atapewa

All the best
Asante kwa taarifa
 
Binafsi nina pesa skrill.com unaweza kuitoa direct kwenda safaricom M-pesa na sio Vodacom M-pesa, naumiza kichwa sana namna ya kuipata hii pesa, awali nilitumia crdb Visa card ila crdb imesitisha huduma hii
Any idea kwa mdau mwenye njia mbadala (sina jamaa yangu Kenya labda ningemtumia then aitume bongo)
 
Nenda kariakoo kuna jamaa anaitwa Chuwa. Anafanya hiyo miamala
 
Binafsi nina pesa skrill.com unaweza kuitoa direct kwenda safaricom M-pesa na sio Vodacom M-pesa, naumiza kichwa sana namna ya kuipata hii pesa, awali nilitumia crdb Visa card ila crdb imesitisha huduma hii
Any idea kwa mdau mwenye njia mbadala (sina jamaa yangu Kenya labda ningemtumia then aitume bongo)
Nenda kariakoo mtaa wa lumumba na narung'ombe pembeni mwa office za bus za Tahmeed kuna agent wa safaricom...anatoa pesa kutoka Kenya.
 
Back
Top Bottom