Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
HAPA NAZUNGUMZIA WALE AMBAO WANAHITAJI HUDUMA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO MFANO BLOG,WEBSITE,LOGO NK
Graphics & Design
Digital Marketing
Writing & Translation
Video & Animation
Music & Audio...
kwa wale wanaohitaji kuandikiwa memorandums za kufungulia kampuni na assitance yoyote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives n.k kwa gharama nafuu kabisa
We...
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa
Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine
ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula
Inapukuchua mahindi
Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa
masaa...
hizi ni tofari nzuri sana,material yake ni cement,mchanga na molamu iliyochenjuliwa,zipo aina 2 za machine za kufyatulia,moja ya umeme na nyingine ya mkono,mwenye kujua bei zake...
Wakuu nna shida ya kijana wa kike au wa kiume umri kuanzia 18-20 kazi za kufanya ni usafi wa nyumba, kumwagia mauwa,kufua na kupika chakula chake,mshahara wa kuanzia ni 50,000 nipo dar kigamboni.
Habari.
Kama Kuna mtu anayo machine ya MAXMALIPO au SELCOM anaiuza basi naomba anicheki kwani Nina uhitaji nayo. Iwe katika hali nzuri kiufundi pia awe tayari kufanya maandisha wakati ananiuzia.
Habari ndugu zangu,
Natafuta ukumbi/Banda la kukodi kwa lengo la kufanya kituo cha maombi na ushauri,napenda liwe na capacity ya ku hold watu 80 mpaka 100, maeneo ya Yombo, Mbagala, Mtoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.