Dalali: wa ukumbi wa kukodi unahitajika.

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
233
Reaction score
264
Habari ndugu zangu,
Natafuta ukumbi/Banda la kukodi kwa lengo la kufanya kituo cha maombi na ushauri,napenda liwe na capacity ya ku hold watu 80 mpaka 100, maeneo ya Yombo, Mbagala, Mtoni, Buza,kongowe ya mbagala, liwe na miundo mbinu ya vyoo, na usalama wa eneo, pia lisiwe katikati ya makazi ya nyumba za watu wengi. Kwa yyte anaye wafahamu madalali wa maeneo hayo nijulishe au weka namba yake hapa mm nitamtafuta nipo online kwaajili ya thread hii.

Asanteni sana. Mungu awabariki.
 
Njoo pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom