Vanguard inauzwa

Vanguard inauzwa

Zaczacposen

New Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
4
Reaction score
3
Model 2009
Cc 2400
Km 55000
Grande 5
Right hand kwa yeyote aliyekuwa interest tuwasiliane
 

Attachments

  • 20180717_004133.png
    20180717_004133.png
    259.2 KB · Views: 60
  • 20180717_004110.png
    20180717_004110.png
    295.5 KB · Views: 62
Tangazo hili ni sawa na thread ya kuku asiye na kichwa!
 
Mbona bei kubwa sana litakosa mteja ebu pungusa aise nichukue chombo hicho.
 
Hiyo rangi kama ya njano njano hapo ndio imeharibu tofauti na hapo naiona bomba sana
 
Mbona kama imewahi kupata ajari kama inavyo onekana katika picha? Mdau
 
Back
Top Bottom