Pitia hizi Nyuzi unaweka ukapata mawili matatu na jamaa wanazouza.Ya kuuzia luku,vocha
Una bei gnHabari.
Kama Kuna mtu anayo machine ya MAXMALIPO au SELCOM anaiuza basi naomba anicheki kwani Nina uhitaji nayo. Iwe katika hali nzuri kiufundi pia awe tayari kufanya maandisha wakati ananiuzia.