Habari zakwakoop wakati huu wanajamvi ..
Natafuta mtamba wa miezi saba aina ya Friesian Au arshire anayeweza kuhimili mazingira ya dar es salaam maeneo ya mbezi mwisho( mbezi ya kimara)...
Hallow, tena Habari kaka wazee na dada.
Leo nipo humu naombeni kujua makadirio ya Ruby gram 2 iliyo pure kabisa, kutoka hapa Tanzania ni kiasi gani kwa masoko yetu ya kwetu Tanzania?
Naamini...
Jipatie mabati kwa bei ya kiwanda
Tuna aina zote za mabati karibu ujionee tofauti kwa bei za kiwandani
Migongo midogo za rangi
28gauge 9000/m,30gauge 8000/m
Migongo mipana
28gauge 9500/m,30gauge...
Tunatoa huduma za Chakula, Mapambo, Keki, Mc na Muziki ,viti vya kisasa na cover zake pamoja na meza, maturubai kwenye sherehe mbalimbali, harusi,sendoff, kitchen party, kipaimara, ubarikio...
habari wadau..
kwa wale wote mnaokosa muda wa kufua nguo zenu karibuni mtuunge mkono..
tunafua nguo chafu za aina zote,..
nguo chafu zinafuliwa kwa mfumo wa kufatwa na kuletwa workshop...
ila nahitaji vile locally made kwa hapa Dar naweza pata wapi?au kama unafahamu watu wanaofanya hii nisaidie,nahitaji viti sio chini ya 250.,offer yangu ni 35,000/= kwa kiti kimoja.
Viti...
Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei...
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu.
Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
Nauza models 2 za earphone za Xiaomi.
1. Mi in-earphone Basic Tsh 20,000 Sealed.
2. Mi Hybrid in-earphone Pro Tsh 50,000 sealed.
Both with Mic.
Ya majaribio ipo Moja Basic ndio ninayotumia...
Habarini za asubuhi jamii forum
ninahitaji kuku wakienyeji..
Idadi kumi hivi itapendeza..
Mahali napatikana moshi
Size ya kati sana sana mitetea
Nifahamishe nikufuate leo hii
0622440179 Tsapp...
Visit: YNS.apg-ea.com
Call: 0736 937 937
We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
kwa wale wanaohitaji kuandikiwa memorandums za kufungulia kampuni na assitance yoyote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives n.k kwa gharama nafuu kabisa
We...
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa
Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine
ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula
Inapukuchua mahindi
Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa
masaa...
Ukihitaji chochote wasiliana nasi 0658184797 / 0752 184797 au follow @bongodeco @bongodeco karibu ofisini kwetu Magomen mapipa mtaa wa idrisa upo upande wa kushoto kama unatoka kariakoo au...
Jipatie mashine mpya na bora zenye kiwango cha juu za mazoezi kutoka kwetu
[emoji769]️
Everything you need !!
Computer touch screen treadmill inayopokea Wireless,
Unaweza kuangalia kitu chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.