Habari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa...
Bidhaa nimetumika miaka miwili na mwanafunzi. Zipo dar es salaam magari saba karibu na chuo cha St. Joseph
1.Kapeti
2.meza
3.sofa set
Bei ya 400,000/=
Serios buyer
Piga 0718363214
Wakuu poleni na majukumu,
Nahitaji kupata huduma ya kutotolesha mayai ya kuku kwa kutumia mashine tajwa hapo, Kwa anaemiliki na kutoa huduma hiyo jijini Dodoma, naomba ajitokeze tafadhali ataje...
Excellent Training Center, tumeanza maandalizi ya kuandikisha wanafunzi wa programs ya Pre Form I 2018.
Wanafunzishwa masomo ya Science na Kusoma French Bure kwa kipindi chote cha miezi mitatu...
Habari,
Natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo Dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro...
naitaji smartphone mdogo wenu apa nna laki moja nikipata Samsung au TECNO lkn sio y 3 au 4 ntafurahi zaidi na kama ina tatzo nambie lolote mapema
NATANGULIZA SHUKRANI
LOCATION :DAR
#YUNGtemper
Wakuu
Kama kichwa kinavyosema,kuna ofisi nimepata maeneo ya Charambe viwandani.Sasa nataka nihamie maeneo ya huko,ni sehemu gani sasa nzuri naweza kukaa,ila uswahilini kabisa siwezi.
Bei kwa mwezi...
Habari humu?? Nategemea kuhamia maeneo ya Kibaha mwezi ujao hivyo nahitaji nyumba ya kupanga kwa ajili ya familia iwe na walau vyumba viwili na sitting room.
Pia nahitaji kama kuna frem kubwa ya...
Jiko la umeme used lenye plate nne linauzwa kwa bei ya Tsh 130000 Lipo maeneo ya mbezi Beach goigi. Lina ovena pia.. Na ni zima ispokua plate mbili ndo hazifanyi kazi ni za kubadili.. Kwa anae...
Wana Jf natafuta soko la viazi vitamu hasa mikoa ya Mwanza, Dsm pengine hata Arusha.
Hii nikutokana na uzalishaji kuwa mkubwa maeneo ya wilaya ya Chato-Geita. Ambapo gunia moja ni linagharimu...
Mtoto PAULINA DICKSON:Msichana,Umri miaka 10 darasa la 4 Alipotea Jumatatu Julai 9 Igombe Mwanza.
Aliondoka asubuhi kwenda shuleni Shule ya Msingi IGOMBE lakini hakwenda.Alibeba nguo za nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.