Nataka tuongee biashara mkuuuna taka kununua au kufanyaje?
Hahaahahah, nataka tufanye biasharaUnataka utukamate au
Sawa sawa mkuuHahaahahah, nataka tufanye biashara
We ni muuzaji au mnunuaji??Nataka tuongee biashara mkuu
MuuzajiWe ni muuzaji au mnunuaji??
Ndio mkuuBado unatafuta.
Hahahaahaha hakuna mkuu, sina tatizo lolote nataka tuangalie kama tunaweza kufanya biasharaMbona andiko lako limekaa kimtego mtego....
Kama mtu ambaye ameibiwa mbao nyingi kwa ana tafuta wauzaji wa mbao ili akamate mzigo wake
Atakuwa Afisa Misitu.una taka kununua au kufanyaje?
Labda TFSAtakuwa Afisa Misitu.