Habarini za asubuhi,waungwana

Habarini za asubuhi,waungwana

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
2,831
Reaction score
1,304
Wakuu nna shida ya kijana wa kike au wa kiume umri kuanzia 18-20 kazi za kufanya ni usafi wa nyumba, kumwagia mauwa,kufua na kupika chakula chake,mshahara wa kuanzia ni 50,000 nipo dar kigamboni.
 
Chukua ndugu zako wakusaidie halafu uwape hivyo 50k
Heshima ni kitu cha bure!!!
 
Siku hizi wapo ila wanaanzia 150,000. Otherwise utapata mhuni asiyejua kitu.
 
50000? hata kama anakula na kulala kwako ni kidogo sana mkuu ungeongeza kidogo
 
Back
Top Bottom